Dira
"Kuwa Bunge lenye ufanisi na sikivu kwa wananchi wake."
Dhima
"Kuwa sauti ya Wananchi kwa kutimiza ipasavyo majukumu yetu ya Kikatiba ya Uwakilishi wa Wananchi, kutunga Sheria, na Kusimamia Serikali."