Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

Habari

SPIKA MUSSA ZUNGU AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA SERBIA


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akimpatia zawadi Spika wa Bunge la Serbia, Mhe. Ana Brnabic yenye mfano wa jengo la Bunge la Tanzania baada ya mazungumzo yaliyofanyika tarehe 10 Februari, 2026 katika Ofisi za Bunge la Serbia Jijini Belgrade.

Mazungumzo yao yamelenga kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Serbia, hususan ushirikiano wa Kibunge.