Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

Habari

SPIKA MUSSA ZUNGU AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA SERBIA


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Serbia, Mhe. Marco Duric, tarehe 10 Februari, 2026 Jijini Belgrade.

Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi ya Tanzania na Serbia.