Habari
SPIKA MUSSA ZUNGU AKUTANA NA RAIS WA JAMHURI YA SERBIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Serbia, Mhe. Aleksandar Vučić, alipomtembelea tarehe 12 Februari, 2026, Ikulu, Jijini Belgrade.
Pamoja na mambo mengine, mazungumzo yao yamelenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi ya Tanzania na Serbia hususan katika biashara na uwekezaji na ushirikiano wa Kibunge.
