Aina za Kamati
1. Kamati za Kudumu zisizo za Sekta
- Kamati ya Uongozi
- Kamati ya Kanuni za Bunge
- Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
2. Kamati za Bunge za Sekta
- Kamati ya Miundombinu
- Kamati ya Nishati na Madini
- Kamati ya Afya na Masuala ya Ukimwi
- Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo
- Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria
- Kamati ya Tawala na Serikali za Mitaa
- Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii
- Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii
- Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
- Kamati ya Maji na Mazingira
- Kamati ya Elimu, Utamaduni na Michezo
3. Kamati za Sekta Mtambuka
- Kamati ya Bajeti
- Kamati ya Sheria ya Ndogo
- Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma
4. Kamati za Kudumu zinazosimamia matumizi ya Fedha za Umma
- Kamati ya Hesabu za Serikali
- Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa