Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimuapisha Mbunge Mteule wa Jimbo la Amani Abdul Yussuf Maalim leo tarehe 31 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson ameongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa 10 wa Bunge kilichofanyika leo tarehe 30 Januari, 2023 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akishiriki katika shidano la kurusha tufe wakati wa Bunge Bonanza. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki pamoja na Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge  katika shindano la riadha wakati wa Bunge Bonanza. Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakishindana katika mchezo wa riadha wakati wa Bunge Bonanza. Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Mhe. Festo Sanga baada ya  Waheshimiwa Wabunge kuishinda michezo mingi dhidi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge Spika wa Bunge akizungumza kabla ya zoezi la kuwatunuku medali na vikombe Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge walioibuka washindi katika Bunge Bonanza Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge  katika zoezi la kutembea kuelekea katika viwanja vilivyopo Shule ya John Merlin Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki katika Bunge Bonanza Bunge Bonanza litafanyika jumamosi tarehe 28 Januari, 2023 katika viwanja vya shule ya Sekondari  John Merlin JIjini Dodoma. Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wapokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuhusu utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya Mwaka wa Shughuli za kamati hiyo.

Waziri Mkuu: Bunge Bonanza Limefana

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa Bunge Bonanza

Bunge La Tanzania Na India Kuendeleza Ushirikiano

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekuta ...

Ushirikiano Kati Ya Bunge La India Na Tanzania Ku ...

​Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt.Tulia Ackson(Mb) na mgeni wake Spika wa Bu ...

Kamati Za Kudumu Za Bunge Zaanza Vikao Kabla Ya Mk ...

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo katika kikao na Watendaji w ...

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Financial Provisions) (Amendment) Bill 2022, Passed Download
Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 Passed Download
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote wa Mwaka 2022 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 3) Bill, 2022 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Uwekezaji Tanzania wa Mwaka 2022 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA NANE WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 23 SEPTEMBA, 2022 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 30 JUNI, 2022 Download
TAARIFA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022/23 Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links