Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

SPIKA ZUNGU AKABIDHI CHETI CHA SHUKRAN KWA MKURUGENZI MTENDAJI WA AZANIA BANK

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekabidhi cheti cha shukrani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank, Dkt. Esther Mang’enya alieambatana na ujumbe wake tarehe 3 Februari, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma ikiwa ni kutambua mchango wao katika kufanikisha Bunge-Azania Bonanza 2026, siku ya jumamosi tarehe 31 Januari, 2026. Viongozi mbalimbali wa Bunge wameshuhudia tukio hilo akiwemo, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Daniel Sillo (Mb), Wenyeviti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (Mb), Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), Mhe. Cecilia Paresso (Mb), Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Mhe. Festo Sanga (Mb), Katibu wa Bunge, Ndg. Baraka Leonard na Mhasibu Mkuu wa Bunge, Ndg. Layson Mwanjisi.

9
Feb 26
9
Feb 26
9
Feb 26
9
Feb 26