Bunge Logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bunge la Tanzania

NAIBU SPIKA MALUNGO APOKELEWA NA MWENYEKITI MWANYIKA BUNGENI JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Zambia, Mhe. Malungo Chisangano (Mb), akipokelewa na Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), wakati alipowasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 2 Februari, 2026 kwa ajili ya kushuhudia jinsi Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavyoendeshwa.

6
Feb 26
6
Feb 26
6
Feb 26
6
Feb 26