MWENYEKITI WA KIKAO CHA UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE LA 13, MHE. WILLIUM LUKUVI AKIONGOZA KIKAO HICHO
Mwenyekiti wa Kikao cha Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Willium Lukuvi akiongoza Kikao hicho wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13.