MHESHIMIWA MUSSA AZZAN ZUNGU AKIINGIA UKUMBINI KUONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE LA 13 BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA SPIKA WA BUNGE
Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiingia ukumbini kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 mara baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.