Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiapa Bungeni mara baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.