Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Mhe. Daniel Baran Sillo akiomba kura kutoka kwa Waheshimiwa Wabunge kumchagua kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi wa Naibu Spika wa Bunge ulifanyika wakati wa Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 tarehe 13 Novemba, 2025.