Mheshimiwa Daniel Sillo Baran akiapa Bungeni baada ya kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi huo umefanyika wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 13 uliofanyika tarehe 13 Novemba, 2025.