Habari
Spika wa Bunge Mhe. Zungu akutana na kuzungumza na Spika wa la Uingereza
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Daniel Sillo (Mb) nae alishiriki katika Kikao hicho kilichofanyika tarehe 8 Oktoba, 2026 katika ukumbi wa Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) pembezoni mwa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika jijini Arusha
