You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]

Taarifa maalum ya CAG kuhusu IPTL mikononi mwa PAC

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai leo ameikabidhi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (PAC) taarifa ya Mkaguzu na Mdhibiti…
Read more

Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akiwakabidhi Mwenyekiti Mhe. Zitto Zuberi Kabwe na Makamu Mwenyekiti Mhe. Deo Filikunjombe wote wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika…
Read more

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma Mhe. Zitto Kabwe akimwahidi Naibu Spika na akiwaahidi wajumbe pamoja na wanahabari waliofurika katika ukumbi wa Spika wa Mikutano…
Read more

MAUAJI YA KITETO SASA BASI - SERIKALI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda  akizungumza na Kamati ya Uongozi ya Bunge leo na kuainisha hatua madhubuti za kuchukuliwa ili kukomesha…
Read more

MAUAJI YA KITETO SASA BASI - SERIKALI

Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakimsikiliza Waziri Mkuu kwa umakini mkubwa alipokuwa akitanabaisha jinsi Serikali isivyopendezwa na mauaji ya Kiteto na jinsi ilivyojipanga kukomesha kabisa mauaji hayo.


Read more

Kamati ya Uongozi ya Bunge yakutana

Mweneykiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiendesha kikao cha Kamati ya Uongozi mara baada kuahirisha kikao cha Bunge. Hapa anatoa ufafanuzi kwa baadhi mambo yalijitokeza ambapo pamoja na…
Read more

NEW: TAARIFA KWA UMMA Click here to Download

NEW: PARLIAMENT TIMETABLE Click here to Download

NEW: KATIBA INAYOPENDEKEZWA Click here to Download

Kikosi kazi cha PAC kuhusu taarifa ya CAG kwenye IPTL

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akitangaza mbele ya waandishi wa habari kikosi kazi cha maafisa wa Bunge…....
Read more »

KB aelekeza taratibu za kuwasilisha taarifa Bungeni

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (kushoto) akitoa ushauri  kwenye Kamati ya Uongozi jinsi ya kuwasilishwa Bungeni taarifa mbalimbali leo…....
Read more »

Kamati ya Uongozi ya Bunge yakutana

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa kikao ambapo alilitaka Bunge…....
Read more »

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akitangaza mbele ya waandishi wa habari kikosi kazi cha maafisa wa Bunge…

Glossary

By-elections

A by-election occurs when a seat in the National Assembly becomes vacant during the lifetime of a Parliament (i.e. between general elections).