United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
23rd May 2022
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2022/23
20th May 2022
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/23
19th May 2022
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena Tax (Mb) akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa fedha 2022/23.
17th May 2022
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2022/23 Bungeni Jijini Dodoma
16th May 2022
Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/23