You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]

Rais wa Msumbiji akilihutubia Bunge

Rais wa jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma ambapo amesisitiza mshikamano wa kimataifa, pamoja na kuheshimu misngi…
Read more

Rais wa Msumbiji alihutubia Bunge

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa mahususi kwa heshima yake kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo tarehe 19 Mei, 2015…
Read more

Rais Kikwete akiwa kwenye viwanja vya Bunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimu, kumpa pole na kumtakia kupona haraka Mbunge machachari wa Kilindi kwa tikiti ya Chama cha Mapinduzi…
Read more

Ziara ya Rais wa Msumbiji Bungeni

Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Makinda (Mb) akishauriana jambo na Wakuu wa Vyombo vya Dola (kutoka kushoto Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama  Luteni…
Read more

Rais wa Msumbiji Bungeni Dodoma

Picha ya pamoja ya Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi,  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Spika wa Bunge…
Read more

Rais Nyusi ofisni kwa Spika

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akisaini kitabu cha wageni maarufu ofisini kwa Spika wa Bunge alipowasili Dodoma leo tarehe 19 Mei 2015 kulihutubia Bunge…
Read more

NEW: KATIBA INAYOPENDEKEZWA Click here to Download

BoT kudhibiti kuporomoka kwa Shilingi

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb), Wajumbe wa Kamati, Wadau…....
Read more »

Kamati za Bunge zashika kasi Dar

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Mhe. Margaret Simwanza Sitta (Mb) (kulia)akimsikiliza kwa…....
Read more »

Kamati za Bunge kuanza Aprili 27, 2015

1.0       UTANGULIZI

Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 27 Aprili hadi tarehe 4 Mei 2015 Jijini…....
Read more »

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Mhe. Luhaga Joelson Mpina (Mb), Wajumbe wa Kamati, Wadau…

Glossary

By-elections

A by-election occurs when a seat in the National Assembly becomes vacant during the lifetime of a Parliament (i.e. between general elections).