Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mafunzo KOSHUMAS, Ndg. Oscar Koshuma wakati alipotembelea na kufungua Maonesho ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria chiilipokutana na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais, Menejinenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) ili kupata maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango ... Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Awali na Msingi ya Moga kutoka Jijini Dar es Salaam nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Kamati ya Bunge ya Mambo ya nje ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Vita Kawawa (Mb) yafanya kikao kwa njia ya mtandao na Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la watu wa China leo tarehe 28 Aprili 2023 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akizungumza kwa niaba ya Mhe. Spika wa Bunge na Viongozi kutoka Taasisi ya (REPOA) ambapo mara baada ya kuzungumza wamemkabidhi nyaraka za tafiti mbalimbali. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza na Meya wa Ilala, Mhe. Omary Kumbilamoto pamoja na Viongozi wa Jamii Mpya kutoka Jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiifurahia zawadi nzuri aliyoletea na wabunge wa uganda, aliyozawadia na Spika wa Uganda tarehe 24 Aprili 2023 Wabunge wa kutoka Uganda ambao ni wageni wa Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) wakifuatilia mijadala Bungeni tarehe 24 Aprili 2023 Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wafanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati teule ya Mhe. Rais ya kutathmini ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe wa Kamati teule ya Mhe. Rais ya kutathmini ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walipomtembelea Bungeni Jijini Dodoma.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Wizara Ya Fedha Na Mipango Kwa Mwaka 2023/24

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, (Mb).

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Utama ...

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, (Mb).

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Malia ...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb).

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Nisha ...

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba (Mb)

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Laws Revision (Miscellaneous Amendments) Bill, 2023. First reading Download
Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka 2023. First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2023 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ubia Baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa Mwaka 2023 First reading Download
The Written Laws (Financial Provisions) (Amendment) Bill 2022, Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
RIPOTI KUU YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI YA UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022 Download
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA KUMI WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 10 FEBRUARI, 2023 JIJINI DODOMA Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links