MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA NA KULIFUNGUA BUNGE LA 13-NOVEMBA 14, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akilihutubia na kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14, 2025 Jijini Dodoma.