Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la  Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha kwanza cha Kamati ya kuratibu Maandalizi ya Mkutano wa 6 wa Maspika wa Mabunge Duniani Jijini Geneva nchini Uswisi. Spika wa Bunge,  Mhe. Dkt Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge za Mambo ya Nje na Afya, Mhe. Vita Kawawa, Mhe. Stanslaus Nyongo wamefanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Jamhuri ya Korea Kusini, ukiongozwa na Mhe. Kim Sumpyo, Balozi wa Korea Kusini nchini. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amefanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Michael Battle alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, tarehe 3 Mei, 2024. Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Tri Yogo Jatmiko alipomtembelea tarehe 30 Aprili, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania, Mhe. Sherif Abdelhamid Ismail alipomtembelea tarehe 29 Aprili, 2024 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katibu wa Kanda ya Afrika Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA Africa), Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc pamoja na Wajumbe wa CPA Africa kutoka Bunge la Malawi baada ya kikao kilichofanyika katika ofisini za Bunge Jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wamefanya majadiliano na Wajumbe wa Kamati ya Bajeti kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika kikao kilichofanyika tarehe 22 Aprili, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua kikao cha kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi wakati wa Mkutano wa Mwaka 2024 wa Jukwaa la Kibunge la Benki ya Dunia Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge la Uganda ya Hesabu za Serikali za Mitaa Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Habari, Mawasiliano Na Teknolojia Ya Habari Kwa Mwaka 2024/25

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo ...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mifu ...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega.

Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Afya ...

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Law School of Tanzania (Amendment) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024. First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024 First reading Download
The Social Security Laws (Amendments) Bill, 2024 First reading Download
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023 Passed Download
Details Options
Click Here for More What's On
RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/2025 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA AKIWASILISHA KATIKA KAMATI YA BUNGE ZIMA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024/25 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.) WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 14 WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 16 FEBRUARI, 2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 13 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 10 NOVEMBA, 2023 JIJINI DODOMA Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links