United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
14th Mar 2023
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yapongeza Serikali kwa kuwapatia vifaa vya kisasa GST kwaajili ya kufanya utafiti wa madini nchini.
13th Mar 2023
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 mbele ya Wabunge wote katika Ukumbi wa Msekwa Bunge Jijini Dodoma.
27th Feb 2023
Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi wa Bunge
10th Feb 2023
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) amefanya uteuzi wa Wajumbe kwenye Kamati za Bunge leo tarehe 10 Februari 2023.