Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Supplementary Questions

Name

Bakar Hamad Bakar

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

House of Representatives

Primary Question

MHE. BAKAR HAMAD BAKAR K.n.y. MHE. AMEIR ABDALLAH AMEIR aliuliza: - Je, Balozi za Tanzania zinatumia mikakati gani kutangaza bidhaa za Tanzania Kimataifa?

Supplementary Question 1

MHE. BAKAR HAMAD BAKAR: Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Nimpongeze Mheshimiwa Naibu Waziri kwa majibu haya mazuri, lakini pamoja na mjibu haya na jitihada hizi za Serikali kupitia juhudi hizi za Serikali ambazo zinafanyika kupitia Mabalozi wetu mbalimbali naomba kufahamu, ni bidhaa zipi hasa za kilimo ambazo zimetangazwa kupitia Mabalozi wetu na zimepata soko kubwa zaidi nje ya nchi yetu? Ahsante. (Makofi)

Name

Amber. Mbarouk Nassor Mbarouk

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Nominated

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI: Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Bakar Hamad Bakar, Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, kama ifuatavyo: -

Mheshimiwa Spika, list hii ni kubwa sana, lakini itoshe tu kusema kwamba kwa mazao yanayoongoza ni parachichi, soya na mazao mengine kama vile matunda na mbogamboga, ahsante sana.