Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 – Wizara ya Nishati

Hon. Aida Joseph Khenani

Sex

Female

Party

CHADEMA

Constituent

Nkasi Kaskazini

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

1

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 – Wizara ya Nishati

MHE. AIDA J. KHENANI: Mheshimiwa Spika, nianze na nguzo za zege; maeneo ya hifadhi yamekuwa na changamoto ya mara kwa mara kuungua kwa nguzo. Mkoa wa Rukwa tuingizwe kwe Gridi ya Taifa.

Mheshimiwa Spika, Mamlaka ya Mji Mdogo Namanyere tuondolewe kwenye gharama ya umeme wa shilingi 320,000 kwani haiendani na uhalisia wa maisha yao.