Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 – Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Hon. Dr. Thea Medard Ntara

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

2

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 – Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

MHE. DKT. THEA M. NTARA: Mheshimiwa Spika, suala la ubovu wa majengo ya vyuo vikuu ni la muda mrefu. MUST, Mkwawa, UDOM ni baadhi ya vyuo vikongwe ambavyo vinahitaji maboresho kabla havijaharika zaidi.

Mheshimiwa Spika, viwanja vya Chuo cha Nelson Mandela viharakishwe kujengwa ili vitumike.

Mheshimiwa Spika, suala la mshahara wa wakuu wa vyuo vikuu lifanyiwe kazi na maelezo yatolewe kadri Mheshimiwa Waziri wa Elimu alivyoahidi katika Bunge la Kumi na Mbili kwa mwaka 2021/2022.