Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Supplementary Questions

Name

Saada Mansour Hussein

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. SAADA MONSOUR HUSSEIN aliuliza: - Je, Serikali ina mpango gani wa kunusuru maisha ya vijana wa kike kwa kudhibiti wimbi la mauaji Visiwani Zanzibar?

Supplementary Question 1

MHE. SAADA MANSOUR HUSSEIN: Mheshimiwa Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi ya kuuliza swali la nyongeza. Je, ni hatua gani zilizochukuliwa na Serikali hadi sasa kwa wote waliohusika?

Name

Sagini Jumanne Abdallah

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Butiama

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YANCHI: Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la nyongeza la Mheshimiwa Saada Mansour Hussein kama ifuatavyo: -

Mheshimiwa Spika, watuhumiwa wa mauaji haya yaliyotokea Zanzibar, wote walikamatwa na kesi zao zinaendelea mahakamani. Nakushukuru sana.