Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tarehe 14 Septemba, 2018.

Mheshimiwa Spika,leo hii tunafikia tamati ya Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge lako Tukufu ambao ulianza Kikao chake cha kwanza tarehe 4 Septemba 2018. Hivyo, hatunabudi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuhitimisha shughuli zote zilizopangwa kwenye Mkutano huu tukiwa na afya njema.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's