Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa kuahirisha Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tarehe 29 Juni, 2018

UTANGULIZI

Shukrani

Mheshimiwa Spika, awali ya yote namshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutufikisha siku hii ya leo tukiwa na afya njema ambapo tunahitimisha Mkutano wa 11 ulioanza Jumanne tarehe 3 Aprili 2018.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's