United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAHIRISHA MKUTANO WA 12 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 8 SEPTEMBA, 2023 JIJINI DODOMA