Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2015-2020 Session 16 Sitting 9 Finance and Planning Wizara ya Fedha na Mipango 120 2019-09-13

Name

Tunza Issa Malapo

Sex

Female

Party

CHADEMA

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. TUNZA I. MALAPO aliuliza:-

Je, ni Watumishi wangapi wanahitajika na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili Mamlaka hiyo iweze kufanya kazi zake kwa ufanisi?

Name

Dr. Ashatu Kachwamba Kijaji

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Kondoa

Answer

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO alijibu:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, Kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango napenda kujibu swali la Mheshimiwa Tunza Issa Malapo Mbunge Viti maalum kama ifuatavyo;

Mheshimiwa Mwenyekiti, ili Mamlaka ya Mapato Tanzania iweze kufanya kazi zake kwa ufanisi inahitaji watumishi wapatao 7,000 wa kada mbalimbali za kiutumishi.