Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 – Wizara ya Kilimo

Hon. Julius Kalanga Laizer

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Monduli

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

0

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 – Wizara ya Kilimo

MHE. JULIUS K. LAIZER: Mheshimiwa Spika, kwanza niwapongeze Wizara kwa juhudi kubwa wanazofanya kuinua kilimo nchini. Naomba kujua mkakati wa Serikali kuboresha upungufu. Kutambua na kupima hekta 147 za Mto wa Mbu na Migungani, Selela, Engaruka. Naomba kuboreshewa sehemu ya Mahande, kusakafia mifereji katika Skimu za Mahande, Jangwani, Selela, Engaruka Juu inatakiwa shilingi milioni 200. Hii itasaidia kuinua umwagiliaji. Naamini Serikali itatusaidia kutenga fedha za ukarabati schemes zetu.