Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 – Wizara ya Nishati

Hon. Grace Victor Tendega

Sex

Female

Party

CHADEMA

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

3

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 – Wizara ya Nishati

MHE. GRACE V. TENDEGA: Me Spika, hoja yangu ni kuhakikisha tunajumuisha umeme wa jua ili kuongeza nguvu kwa TANESCO. Kule Iringa kuna mwekezaji ameshaainisha eneo Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Jimbo la Kalenga, Kijiji cha Kilambo. Naishauri Serikali iweze kuharakisha katika kuidhinisha mradi huu uanze, kwani utasaidia siyo tu kutoa ajira, bali kuharakisha maendeleo. Ahsante.