Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 – Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Hon. Janeth Maurice Massaburi

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

1

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 – Wizara ya Mifugo na Uvuvi

MHE. JANETH M. MASABURI: Mheshimiwa Spika, Pongezi kwa Serikali na Wizara hii, VAT kwa bidhaa za maziwa hususani (UHT Milk) tunaomba itolewe.

Mheshimiwa Spika, Serikali iwekeze kwenye taaluma ya maziwa Vyuoni kama Shahada na Stashahada ili tupatiwe Wataalamu na kuongeza ujuzi katika Sekta hii ya maziwa.

Mheshimiwa Spika, Kwa sasa Afrika ya Mashariki Chuo pekee kinachotoa taaluma hii ya maziwa ni Egerton University ya nchini Kenya.

Mheshimiwa Spika, naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja.