Parliament of Tanzania

News & Events

08th Nov 2019

Waziri Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa, mwaka 2020/21

05th Nov 2019

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiingia Bungeni kuongoza kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge Jijini Dodoma

04th Nov 2019

Waheshimiwa Wabunge wakipitia tablets walizopewa na Ofisi ya Bunge kwa lengo la kuwasidia katika matumizi ya shughuli za Bunge na kuondoa matumizi ya karatasi.

01st Nov 2019

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua Kanuni za Kudumu za Bunge la Kenya za lugha ya Kiswahili katika hafla iliyofanyika Jijini Nairobi, Kenya. Kuanzia kushoto ni Kiongozi wa Walio wengi Bungeni (Majority Leader), Mhe. Aden Duale, Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Justin Muturi na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi

22nd Oct 2019

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya UKIMWI, Mhe. Oscar Mukasa akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Jijini Dodoma

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's