United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
19th Jul 2023
Umoja wa Afrika umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani
10th Jul 2023
Wajumbe wa Jukwaa la Kibunge la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF) kwa pamoja wamekubaliana kumuunga Mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, katika azma yake ya Kugombea nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
04th Jul 2023
Bunge la Tanzania limewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 52 wa Jukwaa la Kibunge la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF) wakati wa Mkutano wa 53 unaoendelea Jijini Arusha.
30th Jun 2023
Mkutano wa Kumi na Mbili unatarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023 ambapo Waziri Mkuu alisema alipokuwa akihitimisha Bunge tarehe 28 Juni 2023.