Parliament of Tanzania

News & Events

16th Oct 2023

Kamati za Bunge zimeanza kwa kutanguliwa na Kamati nne tarehe 9 Oktoba 2023 na kumi na mbili (12) zimeanza tarehe 16 Oktoba 2023 Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge unatarajiwa kuanza siku ya jumanne tarehe 31 Oktoba 2023

08th Sep 2023

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb).

29th Aug 2023

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb), akifungua kwa niaba ya Spika wa Bunge Mkutano wa vikao vya Jukwaa la Kibunge la Nchi za Maziwa Makuu Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

16th Aug 2023

Kamati za Kudumu za Buge zimeanza kukutana Jijini Dodoma kabla ya Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti, 2023.

01st Aug 2023

Watumishi wa Bunge wamewasili Mkoa wa Lindi tarehe 31 Julai na kupokelewa na ofisi ya RAS Mkoani humo, kwaajili ya kutoa elimu kwa umma kuhusu Masuala ya Bunge kwa shule za Msingi na Sekondari.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's