United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
04th Nov 2023
Mwenyekiti wa Bunge Bonanza Mhe. Festo Sanga (Mb) amekutana na Waandishi wa Habari Leo tarehe 03 Novemba 2023, Ofisi za Bunge Dar kuzungumzia Bunge Bonanza litakalofanyika tarehe 27 Januari 2024
03rd Nov 2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la2023 wakati wa kipindi cha Maswalı ya Papo kwa Papo, bungeni jijini Dodoma, Novemba 2, 2023.
31st Oct 2023
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akiingia Bungeni kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge
30th Oct 2023
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akiwaongoza Viongozi, Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika mapokezi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma.
27th Oct 2023
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb).