Parliament of Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

Wajumbe wa Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Kisaranga kilichopo Mwanga Mkoani Kilimanjaro wakati walipotembelea chuo hicho Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja kwenye jiwe la msingi mara baada ya kukagua ujenzi wa Bomba la kusafirisha Mafuta Ghafi-Chongoleni Tanga Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Tanga (katikati) Mhe. Waziri W. Kindamba ofisini kwake tarehe 16 Machi 2023 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 mbele ya Wabunge katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika Mkutano kuhusu uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge kuhusu uwasilishwaji wa Mapendekezo ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu Mwenyekiti wa Tume Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Bungeni Jijini Dodoma. Mwenyekiti wa Tume Haki Jinai, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Othman Chande akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Bungeni Jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo akiongoza majadiliano kati ya Wajumbe wa Kamati hiyo na Tume ya Haki Jinai ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed O. Chande. Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Mussa A. Zungu (Mb) akutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai katika viwanja vya Bunge tarehe 13 Machi 2023

Kamati Ya Nishati Na Madini Yafanya Ziara Gst

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yapongeza Serikali kwa kuwapatia vifaa vya kisasa GST kwaajili ya kufanya utafiti wa madini nchini.

Mapendekezo Ya Mpango Na Kiwango Cha Ukomo Wa Ba ...

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ...

Bunge Laahirishwa Hadi Aprili 4, 2023

Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akitoa hotuba ya kuahirisha Mkutano wa K ...

Uteuzi Wa Wajumbe Wa Kamati Za Kudumu Za Bunge

Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge

View All News From Bunge

Details Stage Options
Click Here for More Bills & Legislation
The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2023 First reading Download
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ubia Baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa Mwaka 2023 First reading Download
The Written Laws (Financial Provisions) (Amendment) Bill 2022, Passed Download
Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 Passed Download
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote wa Mwaka 2022 First reading Download
Details Options
Click Here for More What's On
MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 Download
TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
MAELEZO YA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24 Download
HOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI AKIAHIRISHA MKUTANO WA KUMI WA BUNGE LA 12 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 10 FEBRUARI, 2023 JIJINI DODOMA Download
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge Download

Education And Outreach

EDUCATION

Quick Links