Parliament of Tanzania

Hotuba ya Mhe. Kassim M. Majaliwa ( Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihitimisha Mkutano wa Tisa wa Bunge la Kumi na Moja tarehe 17 November, 2017.

Mheshimiwa Spika, tarehe 7 Novemba, 2017 tulianza kikao cha kwanza cha mkutano wa tisa wa Bunge lako tukufu na leo tunafikia tamati. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuhitimisha kwa amani na afya njema shughuli zote zilizopangwa.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's