Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 2 Home Affairs Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 24 2024-04-03

Name

Shamsia Aziz Mtamba

Sex

Female

Party

CUF

Constituent

Mtwara Vijijini

Primary Question

MHE. SHAMSIA A. MTAMBA aliuliza: -

Je, Serikali ina mpango gani wa kufanya zao la muhogo kuwa moja ya zao la kimkakati katika Mikoa ya Kusini?

Name

Eng. Hamad Yussuf Masauni

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kikwajuni

Answer

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI K.n.y. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Shamsia Azizi Mtamba, Mbunge wa Mtwara Vijijini, kama ifuatavyo: -

Mheshimiwa Spika, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imeshatoa eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 11,100 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja C eneo la Mkunwa. Ramani na mchoro wa kituo umeshakamilika na kiasi cha shilingi 300,265,723 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho. Fedha hizo zinatarajiwa kutengwa kwenye bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026. Ahsante.