Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2017 pamoja na Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2017

Hon. Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi)

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

1

Ministries

nil

Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2017 pamoja na Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2017

MHE. JACQUELINE N. MSONGOZI: Mheshimiwa Mwenyekiti, nipende kupongeza Kamati ya UKIMWI kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yao. Ushauri, jitihada za kupambana na kudhibiti madawa ya kulevya haziridhishi, kwa kuwa bado vijana wengi mitaani wanaendelea kuathirika. Ushauri kwa kuwa madawa ya kulevya yamekuwa na athari kubwa kwa jamii na Taifa kwa ujumla ikiwa pamoja na kupunguza nguvu kazi ya Taifa.

Mheshimiwa Mwenyekiti, nishauri Serikali iwe na mpango mahususi wa kufanya vipimo kwa vijana au watoto wetu mashuleni na mitaani wamekuwa na tabia ya kulawitiana . Kwa hiyo upimaji utasaidia kubaini na kudhibiti hiyo michezo hatarishi kwa watoto wetu. Aidha, nashauri upimaji huo uletwe pia hapa Bungeni ili kubaini waathirika wa ulawiti.