Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Hon. Janejelly Ntate James

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

2

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

MHE. JANEJELLY J. NTATE: Mheshimiwa Spika, tumekuwa tunajenga nyumba za askari lakini kwa uchache na kasi ndogo sana. Askari kuishi na raia inapunguza heshima yao na kuleta wakati mwingine mazoea na wahalifu. Tuongeze kasi ya ujenzi wa nyumba za watumishi, lakini hata.