Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Hon. Justin Lazaro Nyamoga

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kilolo

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

1

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

MHE. JUSTUN L. NYAMOGA: Mheshimiwa Spika, kuna haya mashindano ambayo yanaandaliwa na Waheshimiwa Wabunge yaani mfano Mchengerwa Cup, Bashungwa Cup na mengine, hivi haiwezekani kutenga bajeti kidogo na kuchangia kama ambavyo Mfuko wa Jimbo upo? Jambo hili litakuza michezo majimboni na kuwapunguzia Wabunge mzigo mkubwa wa kununua mipira na jezi. Tunaweza kutumia fedha ya Mfuko wa Michezo kwa namna hiyo fedha hiyo itawanufaisha watu wa kipato cha chini vijijini kwetu. Hata kila jimbo likipata mipira 100 na seti kadhaa za jezi tu itasaidia sana kwa kuanzia.