Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Maji

Hon. Dr. Thea Medard Ntara

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

2

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Wizara ya Maji

MHE. DKT. THEA M. NTARA: Mheshimiwa Mwenyekiti, Kijiji cha Mdunduwalo, Kata ya Maposeni hawajawahi kupata maji toka wapate Uhuru. Kijiji hiki watu hutumia maji ya kisima na wana-share na vyura na mijusi. Naomba Serikali mwaka huu wamalize adha hiyo.