Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Ofisi ya Waziri Mkuu

Hon. Dr. Thea Medard Ntara

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

2

Ministries

nil

Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 – Ofisi ya Waziri Mkuu

MHE. DKT. THEA M. NTARA: Mheshimiwa Spika, suala la kuagiza nguzo nje wakati tuna miti ya kutosha na kuna Kiwanda Dar es Salaam cha nguzo za cement, hiyo italeta upigaji wa hali ya juu.