Parliament of Tanzania

TANZIA


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Y. Ndugai (Mb), anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa kuteuliwa na Rais Marehemu Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga kilichotokea Jijini Dodoma leo Ijumaa tarehe 01 Mei, 2020.

Ofisi ya Bunge ikishirikiana na Serikali pamoja na Familia ya Marehemu inaendelea kuratibu taratibu za mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amina.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's