Parliament of Tanzania

TANZIA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Y. Ndugai (Mb), anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Sumve (CCM), Mkoa wa Mwanza, Mhe. Richard Mganga Ndassa kilichotokea Jijini Dodoma, usiku wa kuamkia leo Jumatano tarehe 29 Aprili, 2020.

Ofisi ya Bunge ikishirikiana na Familia ya Marehemu pamoja na Serikali inaendelea kuratibu taratibu za mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amina.

Hon. Job Y. Ndugai

Speaker of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Mr. Stephen Kagaigai

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's