United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
18th Jan 2021
Waraka wa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai juu ya Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge la Kumi na Mbili.
15th Dec 2020
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akimwapisha Mbunge wa Jimbo la Wete, Mheshimiwa Omar Ali Omar katika Viwanja via Bunge Jijini Dodoma
10th Dec 2020
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai na Wabunge-Dkt.Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho mara baada ya kuwaapisha Wabunge hao katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
30th Nov 2020
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge aliowaapisha katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Humphrey Polepole na Riziki Said Lulida, kushoto kwa Mhe. Spika ni Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai
24th Nov 2020
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Mhe. Esther Matiko akila kiapo cha uamimifu mbele ya Mhe.Spika