United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
Mheshimiwa Spika , naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu lipokee, lijadili na kutoa maoni na ushauri kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kuboresha Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Mwaka 2019/20.