You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]
  email E-mail this to a friend email Printable version

Supplementary Question

Session No Question Number To the Ministry of Sector Date Asked
5 1 PRIME MINISTER'S OFFICE (POLICY, COORDINATION AND PARLIAMENTARY AFFAIRS) Central Government 8 November 2011
Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kuniona. Mwaka jana haikuwa kipindi cha kampeni, tarehe 15 Mwezi wa Nane, Mheshimiwa Rais aliahidi katika Kituo cha Kipatimo kwamba atasaidia kutoa pesa kwa ajili ya ufunguaji wa mashine ya X-Ray; Waziri pamoja na majibu yako sikubaliani kwamba tutakaa miaka mitano tukisubiri X-Ray machine wakati Wananchi wanapata matatizo; ni lini ahadi hii itatekelezwa? Ahsante.
ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION #  1  SESSION #  5
mp Answer From Hon.Mponda, Dr. Hadji Hussein
PRIME MINISTER'S OFFICE (POLICY, COORDINATION AND PARLIAMENTARY AFFAIRS)
WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII:

Mheshimiwa Spika, ni kweli ahadi hiyo Mheshimiwa Rais aliahidi na mimi ninaomba nimhakikishie Mheshimiwa Mangungu kwamba, tupo katika utaratibu wa kutimiza au kutekeleza ahadi hiyo ya Rais.