Home » Members »Supplementary Question
Supplementary Question
 |
Lwanji, John Paul[CCM]
Manyoni Magharibi Constituency |
|
|
|
|
|
|
| 8 |
14 |
ENERGY AND MINERALS |
Energy |
13 June 2012 |
Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kuwa hali ya Shule ya Sekondari ya Puma inafanana kabisa na ile ya Sekondari ya Sanjaranda, Wilaya ya Manyoni. Je, Wizara itakuwa tayari kuiingiza shule hii katika mpango wake ili iweze kupata umeme?
|
| ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 14
SESSION # 8 |
 |
Answer From Hon.Simbachawene, George Boniface Taguluvala
ENERGY AND MINERALS |
|
NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI:
Mheshimiwa Naibu Spika, napenda kujibu swali la
Mheshimiwa John Lwanji, ambalo ameliuliza kuhusiana na sekondari iliyopo Wilaya ya Manyoni.
Mheshimiwa Naibu Spika, kama nilivyosema, REA wameonesha jitihada kubwa ya kufikia maeneo mengi, basi katika mipango inayofuata ya REA ni suala la mawasiliano ili tuweze kuona kama kweli na utafiti utakaofanywa na wataalam wetu ukithibitisha kwamba kweli kuna umuhimu huo, basi tunaweza tukajitahidi. Kama nilivyosema, njia ya solar pia inaweza ikatusaidia sana katika kupunguza matatizo ya maeneo ambayo hayajafikiwa na grid.
|
|
|
|